Posts

Showing posts from December, 2024

Mwanasayansi wa Syria auawa mjini Damascus, hofu yatanda baada ya kuondolewa madarakani Assad

Image
  Mwanasayansi wa Syria auawa mjini Damascus, hofu yatanda baada ya kuondolewa madarakani Assad Dec 12, 2024 04:11 UTC Watu wenye silaha wamemuua mwanasayansi mashuhuri wa Syria mjini Damascus huku kukiwa na hofu ya kufanyika msako dhidi ya wasomi wa nchi hiyo baada ya kuondolewa madarakani serikali ya Syria hivi karibuni na makundi yenye silaha yanayoungwa mkono na mataifa ya kigeni, hasa madola ya Magharibi. Dakta Hamdi Ismail Nadi, ambaye alikuwa amebobea katika kemia ya hali ya juu na dawa, alipatikana amekufa nyumbani kwake katika mji mkuu wa Syria siku ya Jumanne. Taarifa  zinasema kifo cha Nadi ni cha kushangaza kwani hapo awali alijulikana kama msomi wa ngazi za juu katika uwanja wake na alikuwa na michango muhimu katika utafiti wa ndani na wa kimataifa katika uga wa kemikali. Habari ya kuuawa Dakta Nadi imeleta mshtuko katika jamii ya wanasayansi na wasomi nd...

Hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu sababu za kuanguka utawala wa Syria

Image
  Hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu sababu za kuanguka utawala wa Syria Dec 12, 2024 03:20 UTC Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehutubia hadhara ya matabaka tofauti ya wananchi akigusia matukio ya hivi sasa ya Syria na eneo la Magharibi mwa Asia kwa ujumla, na kueleza sababu za kuanguka utawala wa Syria pamoja na mikakati ya Iran katika kukabiliana na hali ya sasa. Katika kikao hicho kilichofanyika asubuhi ya jana (Jumatano), Ayatullah Ali Khamenei alisema kuwa kuanguka utawala wa Syria kumesababishwa na mambo makuu matatu: Jambo la kwanza ni mwenendo wa utawala wa Syria wa kutotilia maanani tahadhari zilizotolewa kuhusu hali ya ndani ya nchi hiyo. Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Tangu miezi kadhaa iliyopita shirika letu la upelelezi lilituma ripoti za tahadhari kwa viongozi wa Syria, sijui ikiwa ziliwafikia viongozi waku...

Mgogoro wa kibinadamu Gaza katika kivuli cha kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel

Image
  Mgogoro wa kibinadamu Gaza katika kivuli cha kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel Dec 12, 2024 06:16 UTC Huku zikikosoa hatua ya utawala wa Kizayuni ya kukwamisha upelekaji misaada ya kibinadamu huko Gaza, taasisi za kimataifa zimeeleza wasiwasi zilionao kutokana na kuendelea kuongezeka mgogoro wa kibinadamu katika Ukanda huo. Mwezi wa 14 wa mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza unamalizika, na mashambulizi ya mabomu katika maeneo tofauti ya Ukanda huo yanaendelea huku makumi ya wakazi wa Gaza wakiuawa shahidi na kujeruhiwa kila siku. Aidha suala la njaa na maradhi limeifanya hali ya kibinadamu huko Gaza kuzidi kuzorota. Kwa kukaribia msimu wa baridi kali, wasiwasi umeongezeka zaidi kwa sababu utawala wa Kizayuni unazuia kutumwa misaada ya kibinadamu hususan nguo za joto. Kwa kuwasili majira ya baridi, maisha yamekuwa magumu hasa kw...

Afrika Kusini yahimiza kutatuliwa kero za usafi katika mpaka wake na Msumbiji

Image
  Afrika Kusini yahimiza kutatuliwa kero za usafi katika mpaka wake na Msumbiji Dec 12, 2024 06:28 UTC Bunge la Afrika Kusini limehimiza kuweko ushirikiano kati ya mamlaka husika za nchi mbili ili kushughulikia kero zinazoendelea kujitokeza kwenye huduma za mpaka wa nchi hiyo na Msumbiji. Uhimizaji huo umekuja baada ya Mamlaka ya Usimamiaji wa Mipaka ya Afrika Kusini (BMA) kusimamisha kwa muda shughuli za eneo la mpakani la Lebombo Jumatatu wiki hii kutokana na maandamano yanayohusiana na uchaguzi wa Msumbiji yaliyotokea karibu na mpaka wa Afrika Kusini. Kivuko hicho kimekuwa kikifungwa mara kwa mara tangu baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi nchini Msumbiji Oktoba 24, 2024. Chama cha Usafirishaji Mizigo cha Afrika Kusini (RFA) kilisema Jumanne kwamba kusimamishwa shughuli za kivuko cha Lebombo kunasababisha hasara ya takriban randi milioni 10 (kama dola za 562,400 za...

Iran yailaani Daesh (ISIS) kwa kumuua waziri wa serikali Taliban Afghanistan

Image
  Iran yailaani Daesh (ISIS) kwa kumuua waziri wa serikali Taliban Afghanistan Dec 12, 2024 06:28 UTC Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mauaji ya Khalil-ur-Rehman Haqqani, waziri wa masuala ya wakimbizi wa serikali ya kundi la Taliban nchini Afghanistan. Ismail Baqaei amelaani vikali shambulio hilo la kigaidi lililotokea jana Jumatano mjini Kabul na kumuua waziri wa masuala ya wakimbizi wa serikali ya Taliban nchini Afghanistan Khalil-ur-Rehman Haqqani na watu wengine kadhaa. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran pia ametoa mkono wa pole kwa familia za wahanga wa shambulio hilo la kigaidi la Daesh na kuwaombea dua za kupona haraka majeruhi wa shambulizi hilo. Ismael Baqaei, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran   Duru rasmi za serikali zimetangaza kuwa, Khalil-ur-Rehman Haqqani, Waziri wa Masuala ya Wakimbizi wa Serikali ya Taliban huk...

Zaidi ya Wapalestina 40 wauawa shahidi mapema leo asubuhi Ghaza

Image
  Zaidi ya Wapalestina 40 wauawa shahidi mapema leo asubuhi Ghaza Dec 12, 2024 06:29 UTC Televisheni ya Al-Jazeera ya Qatar imetangaza leo Alkhamisi kwamba Wapalestina 42 wameuawa shahidi na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mashambulizi ya alfajiri ya leo yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni kwenye Ukanda wa Ghaza. Kwa mujibu wa shirika la habari la Fars; Vyombo vya habari vya Palestina vimeripoti habari za kuendelea jinai za jeshi la Kizayuni katika maeneo tofauti ya Ukanda wa Ghaza Alkhamisi asubuhi. Katika ripoti yake, Al-Jazeera imetangaza kuwa, ndege za utawala wa Kizayuni unaozikalia kwa mabavu ardhi za Palestina zimeshambulia ghorofa moja la makazi ya raia katika mtaa wa Al-Jalaa wa magharibi mwa Mji wa Ghaza na kuua shahidi Wapalestina 7 na kujeruhi wengine wengi.  Ripoti hiyo imeongeza kuwa, shambulio jingine la jeshi katili la Israel kwenye vi...

Chuo cha Al-Azhar chalaani jinai za Wazayuni nchini Syria

Image
  Chuo cha Al-Azhar chalaani jinai za Wazayuni nchini Syria Dec 12, 2024 06:30 UTC Chuo Kikuu cha Al-Azhar cha nchini Misri kimelaani jinai za Wazayuni za kutumia kwao vibaya matukio ya Syria na kuteka ardhi ya nchi hiyo na kimezitaka nchi za Kiarabu na Kiislamu zichukue msimamo wa pamoja wa kuzuia kuenea donda ndugu la kensa katika Ulimwengu wa Kiarabu na Kiislamu. Kwa mujibu wa shirika la habari la Fars, sehemu moja ya taarifa ya Chuo Kikuu cha Al-Azhar imelaani jinai za Israel za kupora na kukalia kwa mabavu ardhi nyingine za Syria pamoja na mashambulizi yake dhidi ya miundombinu na taasisi muhimu za nchi hiyo ya Kiarabu na kupora rasilimali zake.  Kwa mujibu wa gazeti la al-Quds al-Arabi, katika taarifa yake, Al-Azhar imeutaka Ulimwengu wa Kiarabu na Kiislamu kuchukua misimamo mikali na ya haraka na kutumia mashinikizo ya kimataifa ili kuzuia kuenea saratani hiyo...

Vyombo vya Magharibi vyaakisi kwa wingi miongozo ya Kiongozi Muadhamu

Image
  Vyombo vya Magharibi vyaakisi kwa wingi miongozo ya Kiongozi Muadhamu Dec 12, 2024 06:31 UTC Mashirika ya habari ya nchi za Magharibi yameakisi kwa wingi hotuba na miongozo muhimu ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyotoa jana Jumano akisisitiza kuwa Marekani na utawala wa Kizayuni ni wahusika wakuu wa matukio ya Syria. Shirika la habari la Reuters la utawala wa kifalme wa Uingereza limeandika: (Ayatullah) Ali Khamenei Jumatano amesema, Iran ina ushahidi unaoonesha kuwa, kupinduliwa serikali ya Rais Assad wa Syria ni njama za Marekani na Israel na mmoja wa majirani wa Syria lakini hakutaja ni jirani gani huyo. Shirika hilo la habari limeendelea kuandika: Uturuki ambayo ni mwanachama wa NATO, ilikuwa inazikalia ardhi za kaskazini mwa Syria baada ya kufanya mashambulizi kadhaa dhidi ya wanamgambo wa Kikurdi na (Erdogan) alikuwa mmoja wa waungaji mko...

Viongozi wa EAC wajadili amani Mashariki wa DRC

Image
  Viongozi wa EAC wajadili amani Mashariki wa DRC Viongozi wa nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki wamefanya juhudi kwa mara nyingine za kujaribu kuleta amani mashariki mwa Jamhur ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC. Imechapishwa: 02/12/2024 - 14:52 Dakika 1 Viongozi walioshiriki mkutano huo ni pamoja na Salva Kiir wa Sudan, Samia Suluhu wa Tanzania, William Ruto wa Kenya,Yoweri Museveni wa Uganda na Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia (kwenye picha wa tatu kutoka kulia). ...

UNAIDS: Kuheshimu haki za binadamu ni muhimu katika mapambano dhidi ya VVU

Image
  UNAIDS: Kuheshimu haki za binadamu ni muhimu katika mapambano dhidi ya VVU Mpango wa Umoja wa Mataifa wa UKIMWI unachapisha ripoti inayoangazia umuhimu wa haki za binadamu katika kutokomeza janga hili. Ubaguzi, ukosefu wa usawa katika upatikanaji wa matunzo na migogoro ya kiuchumi bado vinapunguza kasi ya maendeleo, na kukumbusha juu ya udharura wa mshikamano wa kimataifa. Imechapishwa: 02/12/2024 - 13:29 Dakika 3 Tangu wagonjwa wa kwanza, VVU imesababisha karibu ...

Marekani: Joe Biden amsamehe mtoto wake Hunter katika visa vya ulaghai na kumiliki silaha

Image
  Marekani: Joe Biden amsamehe mtoto wake Hunter katika visa vya ulaghai na kumiliki silaha Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza siku ya Jumapili kwamba amemsamehe mtoto wake Hunter, ambaye alikuwa akisubiri kuhukumiwa katika kesi za kumiliki silaha kinyume cha sheria na kukwepa kulipa kodi. Imechapishwa: 02/12/2024 - 04:50 Dakika 1 Rais Joe Biden katika Ikulu ya White House, Novemba 13, 2024. © Hannah McKay / Reuters ...

Guinea: Watu wengi wafariki baada ya mechi ya soka mjini N'Zérékoré

Image
  Guinea: Watu wengi wafariki baada ya mechi ya soka mjini N'Zérékoré Hofu yatanda kufuatia vifo vya watu wengi huko N'Zérékoré, kusini-mashariki mwa Guinea, baada ya msongamano wa watu kwenye uwanja wa michezo wa jiji hilo. Hakuna takwimu za kuaminika hadi sasa, lakini picha na video zinazozunguka zinaonyesha maiti nyingi na majeruhi wengi. Fainali ya mashindano ya kandanda ya "Jenerali Mamadi Doumbouya" ilizua taharuki katika dakika za mwisho. Vijana na polisi walihusika, na kusababisha hali ya machafuko. Imechapishwa: 02/12/2024 - 04:40 Dakika 1 ...

Jeshi la Urusi ladai kuangusha ndege zisizo na rubani 47 za Ukraine Rostov

Image
  Jeshi la Urusi ladai kuangusha ndege zisizo na rubani 47 za Ukraine Rostov Jeshi la Urusi limetangaza siku ya Ijumaa Novemba 29, 2024 kwamba limetungua ndege 47 zisizo na rubani za Ukraine usiku ambazo zililenga zaidi eneo la Rostov, linalopakana na Ukraine, ambapo moto mkubwa ulizuka kwenye eneo la viwanda. "Mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi imeharibu ndege zisizo na rubani 47 za Ukraine," zikiwemo ndege 29 katika eneo la Rostov (kusini) ambalo ni makao makuu ya operesheni ya Urusi nchini Ukraine, jeshi limesema katika taarifa. Dakika 1 ...

Donald Trump ataka kusaidia Ukraine na Urusi kufikia mazungumzo

Image
  Donald Trump ataka kusaidia Ukraine na Urusi kufikia mazungumzo Chini ya miezi miwili kabla ya kuapishwa kwa Donald Trump, sasa inafahamika zaidi kuhusu nia ya rais mteule wa Marekani juu ya suala la Ukraine. Donald Trump amemteua jenerali mstaafu Keith Kellogg kuwa mjumbe maalum wa Ukraine na Urusi. Na mshauri huyu wa zamani wa usalama wa kitaifa wa Makamu wa Rais Mike Pence, kisha wa Donald Trump, wakati wa muhula wa kwanza wa Trump ana jukumu ambalo tayari limefafanuliwa kwa kumaliza mzozo. Dakika 1 ...

Kosovo yalaani 'shambulio' baada ya mlipuko wa miundombinu muhimu

Image
  Kosovo yalaani 'shambulio' baada ya mlipuko wa miundombinu muhimu Mlipuko umeharibu njia muhimu ya mitambo miwili ya nishati ya joto huko Kosovo siku ya Ijumaa, Novemba 29, na kutishia usambazaji wake wa nishati, ametangaza Waziri Mkuu wa Kosovo Albin Kurti, akilaani "shambulio" ambalo amelihusisha Serbia. Dakika 1 Paa za nyumba zilizofunikwa na theluji nje kidogo ya Pristina, mji mkuu wa Kosovo, mnamo Novemba 21, 2024, mvua ya theluji ya kwanza ili...

Mkataba wa kijeshi Chad-Ufaransa: Maswali ambayo hayajakamilika baada ya tangazo la Ndjamena

Image
  Mkataba wa kijeshi Chad-Ufaransa: Maswali ambayo hayajakamilika baada ya tangazo la Ndjamena Kusitishwa kwa mkataba wa ushirikiano wa kijeshi kati ya Chad na Ufaransa, uliotangazwa siku ya Alhamisi, Novemba 28 na mkuu wa diplomasia ya Chad baada ya ziara rasmi ya mwenzake wa Ufaransa, kunazua maswali kadhaa: kwa nini uamuzi huu wa Ndjamena? Na ni nini matokeo ya moja kwa moja kwa uwepo wa jeshi la Ufaransa huko Sahel na kwa upana zaidi barani Afrika? Dakika 2 Wan...

Syria: Raia 16 wauawa katika shamulo Aleppo

Image
  Syria: Raia 16 wauawa katika shamulo Aleppo Raia kumi na sita wameuawa katika mji wa Aleppo katika shambulio linalodaiwa kutekekelezwa na Urusi, mshirika wa utawala wa Syria, limesema shirika la Haki za Bindamu nchini Syria (SOHR). Dakika 1 Waasi wa Syria wafyatua risasi hewani baada ya kuteka viunga vya Aleppo, Novemba 30, 2024. © Ghaith Alsayed / AP ...

Rais wa Kenya William Ruto awa Mwenyekiti mpya wa EAC

Image
  Rais wa Kenya William Ruto awa Mwenyekiti mpya wa EAC Rais wa Kenya William Ruto amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua nafasi ya mwenzake wa Sudani Kusini Salva Kiir. Ruto atashikilia wadhifa huo kwa mwaka mmoja ujao. Dakika 1 Bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC. fr.wikipedia.org ...