Mkuu wa NATO Rutte afanya mazungumzo na Trump huko Florida Sudi Mnette
Mkuu wa NATO Rutte afanya mazungumzo na Trump huko Florida
Sudi Mnette
Saa 14 zilizopitaSaa 14 zilizopita
Katibu Mkuu wa NATO Mark Rutte alikutana na Rais mteule wa Marekani Donald Trump huko Palm Beach, Florida, siku ya Ijumaa, msemaji wa muungano huo wa kijeshi ametoa taarifa hiyo Jumamosi.
https://p.dw.com/p/4nLjR
Nakili kiunganishi
Donald Trump empfängt NATO-Generalsekretär Mark Rutte (Archiv)
Donald Trump akipeana mkono na Mark Rutte, wakati alipokuwa Waziri Mkuu wa Uholanzi, katika mkutano wa pamoja.
Picha: Alex Brandon/AP/dpa/picture alliance
Matangazo
Taarifa fupi ya msemaji huyo, Farah Dakhlallah ilieleza kwamba viongozi hao "Walijadili masuala mbalimbali ya usalama wa kimataifa yanayoukabili muungano.”Rutteanatazamwa kama mmoja wa kati ya viongozi bora wa Ulaya katika kufanikisha uhusiano mzuri wa kufanya kazi na Trump wakati wa muhula wake wa kwanza, 2017-21 kama rais wa Marekani.
Comments
Post a Comment