Trump amteua mfanyabiashara Bessent kama waziri wa fedha
Trump amteua mfanyabiashara Bessent kama waziri wa fedha
Saa 18 zilizopitaMatangazo
Besent, 62, ndiye mwanzilishi wa kundi la makampuni ya "hedge fund Key Square." Awali alikuwa afisa mkuu wa uwekezaji wa ofisi nyingine iitwayo "Fund Management" na anachukuliwa kuwa mtaalam wa jumla wa ulimwengu uwekezaji.Pamoja na kumtaka awajibike katika kupunuza deni la taifaTrump amesema Besent atashughulikia kushughulikia kukosekana kwa usawa katika biashara ya nje na kuzingatia ukuaji wa uchumi.
Comments
Post a Comment